Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -




Zekaria 7:8 - Swahili Revised Union Version

8 Kisha neno la BWANA likamjia Zekaria, kusema,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

8 Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia mimi Zekaria:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

8 Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia mimi Zekaria:

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

8 Neno la Mwenyezi-Mungu likanijia mimi Zekaria:

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

8 Neno la Mwenyezi Mungu likamjia tena Zekaria:

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

8 Neno la bwana likamjia tena Zekaria:

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

8 Kisha neno la BWANA likamjia Zekaria, kusema,

Tazama sura Nakili




Zekaria 7:8
4 Marejeleo ya Msalaba  

wala hatukuwasikiliza watumishi wako, manabii, ambao kwa jina lako walisema na wafalme wetu, na wakuu wetu, na baba zetu, na watu wote wa nchi.


Naye Musa aliposikia hayo, akaridhika.


Je, Hayo siyo maneno aliyoyasema BWANA kwa vinywa vya manabii wa zamani, wakati Yerusalemu ulipokaliwa na watu na kufanikiwa, na miji yake iliyokuwa ikiuzunguka; na wakati ule ambao nchi ya Negebu na Shefela ilipokuwa ikikaliwa na watu?


BWANA wa majeshi amesema hivi, ya kwamba, Fanyeni hukumu za kweli, kila mtu na amwonee ndugu yake rehema na huruma;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo