Danieli 9:6 - Swahili Revised Union Version6 wala hatukuwasikiliza watumishi wako, manabii, ambao kwa jina lako walisema na wafalme wetu, na wakuu wetu, na baba zetu, na watu wote wa nchi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Hatukuwasikiliza watumishi wako manabii, ambao kwa jina lako waliongea na wafalme wetu, wakuu wetu, wazee wetu na taifa letu lote. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Hatukuwasikiliza watumishi wako manabii, ambao kwa jina lako waliongea na wafalme wetu, wakuu wetu, wazee wetu na taifa letu lote. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Hatukuwasikiliza watumishi wako manabii, ambao kwa jina lako waliongea na wafalme wetu, wakuu wetu, wazee wetu na taifa letu lote. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 Hatukuwasikiliza watumishi wako manabii, ambao kwa jina lako walisema na wafalme wetu, wakuu wetu, baba zetu, na watu wote wa nchi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 Hatukuwasikiliza watumishi wako manabii, ambao kwa jina lako walisema na wafalme wetu, wakuu wetu, baba zetu, na watu wote wa nchi. Tazama suraSwahili Roehl Bible 19376 Hatukuwasikia watumishi wako wafumbuaji waliosema kwa Jina lako kwa wafalme wetu na kwa wakuu wetu na kwa baba zetu na kwa watu wa ukoo wote wa nchi hiyo. Tazama sura |