Zaburi 102:5 - Swahili Revised Union Version Kwa ajili ya kilio cha kuugua kwangu Mifupa yangu imegandamana na nyama yangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kutokana na kusononeka kwangu, nimebaki mifupa na ngozi. Biblia Habari Njema - BHND Kutokana na kusononeka kwangu, nimebaki mifupa na ngozi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kutokana na kusononeka kwangu, nimebaki mifupa na ngozi. Neno: Bibilia Takatifu Kwa sababu ya kusononeka kwangu kwa uchungu, nimebakia ngozi na mifupa. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa sababu ya kusononeka kwangu kwa uchungu, nimebakia ngozi na mifupa. BIBLIA KISWAHILI Kwa ajili ya kilio cha kuugua kwangu Mifupa yangu imegandamana na nyama yangu. |
Mfupa wangu unagandamana na ngozi yangu na nyama yangu, Nami nimeokoka na ngozi ya meno yangu tu.
Nimechoka kwa kuugua kwangu; Kila usiku nakibubujikia kitanda changu; Nililowesha godoro langu kwa machozi yangu.
Ondokeni kwangu, ninyi nyote mtendao uovu; Kwa kuwa BWANA ameisikia sauti ya kilio changu.
Nyuso zao ni nyeusi kuliko makaa; Hawajulikani katika njia kuu; Ngozi yao yagandamana na mifupa yao Imekauka, imekuwa kama mti.
Tena mumewe akafanya hivyo mwaka kwa mwaka, hapo yule mwanamke alipokwea kwenda nyumbani kwa BWANA, ndivyo yule alivyomchokoza; basi, kwa hiyo, yeye akalia, asile chakula.