Zaburi 1:4 - Swahili Revised Union Version Sivyo walivyo wasio haki; Hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini waovu sivyo walivyo; wao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo. Biblia Habari Njema - BHND Lakini waovu sivyo walivyo; wao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini waovu sivyo walivyo; wao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo. Neno: Bibilia Takatifu Sivyo walivyo waovu! Wao ni kama makapi yanayopeperushwa na upepo. Neno: Maandiko Matakatifu Sivyo walivyo waovu! Wao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo. BIBLIA KISWAHILI Sivyo walivyo wasio haki; Hao ni kama makapi yapeperushwayo na upepo. |
Mataifa wananguruma kama ngurumo ya maji mengi; Lakini atawakemea, nao watakimbia mbali sana, Watafukuzwa kama makapi milimani mbele ya upepo, Na kama mavumbi vuruvuru mbele ya tufani.
Lakini wingi wa adui zako utakuwa kama mavumbi laini, na wingi wao watishao utakuwa kama makapi yapitayo; naam, itakuwa mara na kwa ghafla.
Kwa sababu hiyo watakuwa kama wingu la asubuhi, na kama umande utowekao upesi, kama makapi yaliyopeperushwa na tufani sakafuni, na kama moshi utokao katika bomba.
Ambaye pepeto lake li mkononi mwake, naye atausafisha sana uwanda wake; na kuikusanya ngano yake ghalani, bali makapi atayateketeza kwa moto usiozimika.