Lakini kama hakumvizia, ila Mungu amemtia mkononi mwake; basi nitakuonesha mahali atakapopakimbilia.
Yoshua 20:1 - Swahili Revised Union Version Kisha BWANA akanena na Yoshua, na kumwambia, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, Biblia Habari Njema - BHND Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Mwenyezi Mungu akamwambia Yoshua, Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo bwana akamwambia Yoshua, BIBLIA KISWAHILI Kisha BWANA akanena na Yoshua, na kumwambia, |
Lakini kama hakumvizia, ila Mungu amemtia mkononi mwake; basi nitakuonesha mahali atakapopakimbilia.
Nena na wana wa Israeli, uwaambie, Mtakapovuka mto wa Yordani na kuingia nchi ya Kanaani,
BWANA, Mungu wako, atakapoyakatilia mbali hayo mataifa yenye nchi akupayo BWANA, Mungu wako, nawe ukawafuata, na kukaa katika miji yao, na katika nyumba zao;
Hizi ndizo nchi, ambazo Eleazari kuhani, na Yoshua huyo mwana wa Nuni, pamoja na hao vichwa vya nyumba za mababa ya makabila ya Waisraeli, walizigawanya kwa njia ya kupiga kura, ziwe urithi, huko Shilo mbele ya BWANA, hapo mlangoni mwa hema ya kukutania. Basi hivyo wakamaliza kazi ya kuigawanya hiyo nchi.
Nena wewe na wana wa Israeli, uwaambie, Haya, toeni hiyo miji ya makimbilio, ambayo niliwaambia habari zake kwa mkono wa Musa;
Akasema, La, lakini mimi ni kamanda wa jeshi la BWANA, nimekuja sasa. Yoshua akainama chini hadi nchi, akasujudu, akamwuliza, Bwana wangu aniambia nini mimi mtumishi wake?
BWANA akamwambia Yoshua, Tazama, nimeutia Yeriko katika mkono wako, na mfalme wake, na mashujaa wake.