Yoshua 7:10 - Swahili Revised Union Version10 BWANA akamwambia Yoshua, Haya! Inuka, mbona umeanguka kifudifudi hivi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Simama! Mbona umejitupa chini hivyo? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Simama! Mbona umejitupa chini hivyo? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Simama! Mbona umejitupa chini hivyo? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Mwenyezi Mungu akamwambia Yoshua, “Simama! Unafanya nini ukilala kifudifudi? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 bwana akamwambia Yoshua, “Simama! Unafanya nini hapo chini kifudifudi? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 BWANA akamwambia Yoshua, Haya! Inuka, mbona umeanguka kifudifudi hivi? Tazama sura |