Yoshua 20:1 - Swahili Revised Union Version1 Kisha BWANA akanena na Yoshua, na kumwambia, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Kisha Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Ndipo Mwenyezi Mungu akamwambia Yoshua, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Ndipo bwana akamwambia Yoshua, Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Kisha BWANA akanena na Yoshua, na kumwambia, Tazama sura |
Hizi ndizo nchi, ambazo Eleazari kuhani, na Yoshua huyo mwana wa Nuni, pamoja na hao vichwa vya nyumba za mababa ya makabila ya Waisraeli, walizigawanya kwa njia ya kupiga kura, ziwe urithi, huko Shilo mbele ya BWANA, hapo mlangoni mwa hema ya kukutania. Basi hivyo wakamaliza kazi ya kuigawanya hiyo nchi.