Abrahamu akaamka asubuhi na mapema akatwaa mkate na kiriba cha maji, akampa Hajiri akamtwika begani pake, na kijana, akamruhusu; naye akatoka, akapotea katika jangwa la Beer-sheba.
Yoshua 19:2 - Swahili Revised Union Version Miji waliyokuwa nayo katika urithi wao ni Beer-sheba, Sheba, Molada; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kabila la Simeoni lilipata miji ya Beer-sheba, Sheba, Molada Biblia Habari Njema - BHND Kabila la Simeoni lilipata miji ya Beer-sheba, Sheba, Molada Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kabila la Simeoni lilipata miji ya Beer-sheba, Sheba, Molada Neno: Bibilia Takatifu Ulijumuisha: Beer-Sheba (au Sheba), Molada, Neno: Maandiko Matakatifu Ulijumuisha: Beer-Sheba (au Sheba), Molada, BIBLIA KISWAHILI Miji waliyokuwa nayo katika urithi wao ni Beer-sheba, Sheba, Molada; |
Abrahamu akaamka asubuhi na mapema akatwaa mkate na kiriba cha maji, akampa Hajiri akamtwika begani pake, na kijana, akamruhusu; naye akatoka, akapotea katika jangwa la Beer-sheba.
Kisha sehemu ya pili ilitokea kwa ajili ya Simeoni, maana, kwa ajili ya hilo kabila la wana wa Simeoni, kwa kufuata jamaa zao; na urithi wao ulikuwa katikati ya urithi wa wana wa Yuda.