Basi kwa hiyo Adoni-sedeki, mfalme wa Yerusalemu, akatuma ujumbe kwa Hohamu, mfalme wa Hebroni, na kwa Piramu, mfalme wa Yarmuthi, na kwa Yafia, mfalme wa Lakishi, na kwa Debiri, mfalme wa Egloni, akiwaambia,
Yoshua 12:13 - Swahili Revised Union Version mfalme wa Debiri, mmoja; na mfalme wa Gederi, mmoja; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema mfalme wa Debiri, mfalme wa Gederi, Biblia Habari Njema - BHND mfalme wa Debiri, mfalme wa Gederi, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza mfalme wa Debiri, mfalme wa Gederi, Neno: Bibilia Takatifu mfalme wa Debiri; mfalme wa Gederi; BIBLIA KISWAHILI mfalme wa Debiri, mmoja; na mfalme wa Gederi, mmoja; |
Basi kwa hiyo Adoni-sedeki, mfalme wa Yerusalemu, akatuma ujumbe kwa Hohamu, mfalme wa Hebroni, na kwa Piramu, mfalme wa Yarmuthi, na kwa Yafia, mfalme wa Lakishi, na kwa Debiri, mfalme wa Egloni, akiwaambia,
kisha akautwaa, na mfalme wake, na miji yake yote; nao wakawapiga kwa makali ya upanga, wakawaangamiza kabisa wote pia waliokuwamo ndani yake; hakumwacha hata mmoja aliyesalia; kama alivyoufanyia Hebroni aliufanyia na Debiri vivyo hivyo, na mfalme wake; kama alivyoufanyia Libna, na mfalme wake.