tena kutoka Beth-gilgali, na toka mashamba ya Geba na Azmawethi; kwa maana waimbaji hao walikuwa wamejijengea vijiji katika viunga vya Yerusalemu.
Yoshua 10:43 - Swahili Revised Union Version Kisha Yoshua akarudi, na Israeli wote pamoja naye, hata kambi yao huko Gilgali. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, Yoshua akarudi mpaka kambini huko Gilgali pamoja na Waisraeli wote. Biblia Habari Njema - BHND Basi, Yoshua akarudi mpaka kambini huko Gilgali pamoja na Waisraeli wote. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, Yoshua akarudi mpaka kambini huko Gilgali pamoja na Waisraeli wote. Neno: Bibilia Takatifu Ndipo Yoshua akarudi pamoja na Israeli yote kwenye kambi huko Gilgali. Neno: Maandiko Matakatifu Ndipo Yoshua akarudi pamoja na Israeli yote kwenye kambi huko Gilgali. BIBLIA KISWAHILI Kisha Yoshua akarudi, na Israeli wote pamoja naye, hata kambi yao huko Gilgali. |
tena kutoka Beth-gilgali, na toka mashamba ya Geba na Azmawethi; kwa maana waimbaji hao walikuwa wamejijengea vijiji katika viunga vya Yerusalemu.
Na wafalme hao wote na nchi zao Yoshua akatwaa kwa wakati mmoja, kwa sababu yeye BWANA, Mungu wa Israeli, alipigana kwa ajili ya Israeli,
Kisha ikawa, hapo huyo Yabini, mfalme wa Hazori, aliposikia habari ya mambo hayo, akatuma mjumbe aende kwa Yobabu, mfalme wa Madoni, na kwa mfalme wa Shimroni, na mfalme wa Akshafu,
Na hao watu wakakwea kutoka Yordani siku ya kumi ya mwezi wa kwanza, wakapiga kambi Gilgali, katika mpaka wa mashariki wa Yeriko.
Kisha Samweli akawaambia watu, Haya! Na twendeni mpaka Gilgali, ili tuuanzishe ufalme upya huko.