Yoshua 10:42 - Swahili Revised Union Version42 Na wafalme hao wote na nchi zao Yoshua akatwaa kwa wakati mmoja, kwa sababu yeye BWANA, Mungu wa Israeli, alipigana kwa ajili ya Israeli, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema42 Aliweza kuitwaa nchi hii yote kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, aliwapigania Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND42 Aliweza kuitwaa nchi hii yote kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, aliwapigania Waisraeli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza42 Aliweza kuitwaa nchi hii yote kwa sababu Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, aliwapigania Waisraeli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu42 Wafalme hawa wote pamoja na nchi zao Yoshua aliwashinda kwa wakati mmoja, kwa sababu Mwenyezi Mungu, Mungu wa Israeli, aliwapigania Israeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu42 Wafalme hawa wote pamoja na nchi zao Yoshua aliwashinda kwa wakati mmoja, kwa sababu bwana, Mungu wa Israeli, aliwapigania Israeli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI42 Na wafalme hao wote na nchi zao Yoshua akawatwaa kwa wakati mmoja, kwa sababu yeye BWANA, Mungu wa Israeli, alipigana kwa ajili ya Israeli, Tazama sura |