Na nduguze, mashujaa, walikuwa elfu mbili na mia saba, wakuu wa koo za mababa, ambao mfalme Daudi aliwaweka wawe wasimamizi juu ya Wareubeni, na Wagadi, na nusu kabila la Wamanase, kwa ajili ya kila neno lililomhusu Mungu, na kwa mambo ya mfalme.
Yoshua 1:12 - Swahili Revised Union Version Tena Yoshua akawaambia Wareubeni, na Wagadi, na hao wa nusu ya kabila la Manase, akasema, Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yoshua akawaambia watu wa kabila la Reubeni na Gadi na nusu ya kabila la Manase: Biblia Habari Njema - BHND Yoshua akawaambia watu wa kabila la Reubeni na Gadi na nusu ya kabila la Manase: Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yoshua akawaambia watu wa kabila la Reubeni na Gadi na nusu ya kabila la Manase: Neno: Bibilia Takatifu Lakini kwa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase, Yoshua akasema, Neno: Maandiko Matakatifu Lakini kwa Wareubeni, Wagadi na nusu ya kabila la Manase, Yoshua akasema, BIBLIA KISWAHILI Tena Yoshua akawaambia Wareubeni, na Wagadi, na hao wa nusu ya kabila la Manase, akasema, |
Na nduguze, mashujaa, walikuwa elfu mbili na mia saba, wakuu wa koo za mababa, ambao mfalme Daudi aliwaweka wawe wasimamizi juu ya Wareubeni, na Wagadi, na nusu kabila la Wamanase, kwa ajili ya kila neno lililomhusu Mungu, na kwa mambo ya mfalme.
Wana wa Reubeni, na Wagadi, na nusu kabila ya Manase, watu mashujaa, wawezao kuchukua ngao na upanga, na kupiga upinde, wenye ustadi katika kupigana vita, walikuwa watu elfu arubaini na nne mia saba na sitini, walioweza kwenda vitani.
naye akawaambia, Ninyi mmeyafuata hayo yote mliyoamriwa na Musa, mtumishi wa BWANA, nanyi mmeisikia sauti yangu katika yote niliyowaamuru mimi;