Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Yoshua 1:13 - Swahili Revised Union Version

13 Likumbukeni neno lile alilowaamuru Musa mtumishi wa BWANA, akisema, BWANA, Mungu wenu, anawapa ninyi raha, naye atawapa nchi hii.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 “Kumbukeni lile jambo ambalo Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliwaamuru akisema, ‘Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapa mahali pa kupumzika, na atawapa nchi hii’.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 “Kumbukeni lile jambo ambalo Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliwaamuru akisema, ‘Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapa mahali pa kupumzika, na atawapa nchi hii’.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 “Kumbukeni lile jambo ambalo Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliwaamuru akisema, ‘Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu, atawapa mahali pa kupumzika, na atawapa nchi hii’.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 “Kumbukeni agizo lile Musa mtumishi wa Mwenyezi Mungu alilowapa: ‘Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anawapa ninyi utulivu kwa kuwapa nchi hii.’

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 “Kumbukeni agizo lile Musa mtumishi wa bwana alilowapa: ‘bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa ninyi raha, naye amewapa nchi hii.’

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

13 Likumbukeni neno lile alilowaamuru Musa mtumishi wa BWANA, akisema, BWANA, Mungu wenu, anawapa ninyi raha, naye atawapa nchi hii.

Tazama sura Nakili

Yoshua 1:13
6 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA asema hivi, Watu wale walioachwa na upanga walipata neema jangwani; yaani, Israeli, hapo nilipokwenda kumstarehesha.

Wake zenu, na watoto wenu, na makundi yenu, watakaa katika nchi aliyowapa Musa ng'ambo ya Yordani; bali ninyi mtawatangulia ndugu zenu kuvuka, mkiwa mmevaa silaha zenu, watu wote wenye nguvu, na ushujaa, ili mpate kuwasaidia;

Kisha BWANA akawapa raha pande zote, sawasawa na hayo yote aliyokuwa amewaapia baba zao; wala katika adui zao wote hakusimama hata mtu mmoja miongoni mwao mbele zao; yeye BWANA akawatia adui zao wote mikononi mwao.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo