Yoshua 22:2 - Swahili Revised Union Version2 naye akawaambia, Ninyi mmeyafuata hayo yote mliyoamriwa na Musa, mtumishi wa BWANA, nanyi mmeisikia sauti yangu katika yote niliyowaamuru mimi; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 akawaambia, “Nyinyi mmefuata yale yote Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliyowaamuru na mmetii maagizo niliyowaamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 akawaambia, “Nyinyi mmefuata yale yote Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliyowaamuru na mmetii maagizo niliyowaamuru. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 akawaambia, “Nyinyi mmefuata yale yote Mose, mtumishi wa Mwenyezi-Mungu, aliyowaamuru na mmetii maagizo niliyowaamuru. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 naye akawaambia, “Mmeshafanya yale yote Musa mtumishi wa Mwenyezi Mungu aliyowaamuru, nanyi mmenitii kwa kila jambo nililowaamuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 naye akawaambia, “Mmeshafanya yale yote Musa mtumishi wa bwana aliyowaamuru, nanyi mmenitii kwa kila jambo nililowaamuru. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 naye akawaambia, Ninyi mmeyafuata hayo yote mliyoamriwa na Musa, mtumishi wa BWANA, nanyi mmeisikia sauti yangu katika yote niliyowaamuru mimi; Tazama sura |