Yohana 9:1 - Swahili Revised Union Version Na alipokuwa akipita alimwona mtu, kipofu tangu kuzaliwa. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu alipokuwa akipita alimwona mtu mmoja, kipofu tangu kuzaliwa. Biblia Habari Njema - BHND Yesu alipokuwa akipita alimwona mtu mmoja, kipofu tangu kuzaliwa. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu alipokuwa akipita alimwona mtu mmoja, kipofu tangu kuzaliwa. Neno: Bibilia Takatifu Isa alipokuwa akipita, akamwona mtu aliyekuwa kipofu tangu kuzaliwa. Neno: Maandiko Matakatifu Isa alipokuwa akipita, akamwona mtu aliyekuwa kipofu tangu kuzaliwa. BIBLIA KISWAHILI Na alipokuwa akipita alimwona mtu, kipofu tangu kuzaliwa. |
Na tazama, vipofu wawili walikuwa wameketi kando ya njia, nao waliposikia ya kwamba Yesu anapita, walipaza sauti, wakisema, Uturehemu, Bwana, mwana wa Daudi!
Yesu alipokuwa akipita kutoka huko, vipofu wawili wakamfuata wakipaza sauti, wakisema, Uturehemu, Mwana wa Daudi.
Na mwanamke mmoja, ambaye ametokwa na damu muda wa miaka kumi na miwili, [aliyekuwa amegharimiwa mali zake zote kwa kuwapa waganga] asipate kuponywa na mtu yeyote,
Wanafunzi wake wakamwuliza wakisema, Rabi, ni yupi aliyetenda dhambi, mtu huyu au wazazi wake, hata azaliwe kipofu?
Na huko Listra palikuwa na mtu mmoja, asiyeweza kutumia miguu yake na aliyekuwa kiwete tangu kuzaliwa kwake.
Wenyeji walipomwona yule nyoka akilewalewa mkononi, wakaambiana, Hakosi mtu huyu ni mwuaji; ambaye ijapokuwa ameokoka katika bahari haki haimwachi kuishi.
Akamwona mtu mmoja huko, jina lake Ainea, mtu huyo alikuwa amelala kitandani miaka minane; maana alikuwa amepooza.