Yohana 6:18 - Swahili Revised Union Version Na bahari ikaanza kuchafuka kwa kuvuma upepo mkuu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Ziwa likaanza kuchafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma. Biblia Habari Njema - BHND Ziwa likaanza kuchafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Ziwa likaanza kuchafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma. Neno: Bibilia Takatifu Bahari ikachafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma. Neno: Maandiko Matakatifu Bahari ikachafuka kwa sababu upepo mkali ulikuwa unavuma. BIBLIA KISWAHILI Na bahari ikaanza kuchafuka kwa kuvuma upepo mkuu. |
Ndiye apandishaye mvuke toka miisho ya nchi; Huifanyia mvua umeme; Hutoa upepo katika ghala zake.
Na ile mashua imekwisha kufika katikati ya bahari, inapigwa sana na mawimbi; maana upepo ulikuwa unawakabili.
wakapanda katika mashua, wakaanza kuivuka bahari kwenda Kapernaumu. Nako kumekwisha kuwa giza, wala Yesu hajawafikia.
Basi wakavuta makasia kadiri ya maili tatu nne, wakamwona Yesu anakwenda juu ya bahari na kuikaribia mashua; wakaogopa.