Ndipo mtu aliye kilema atarukaruka kama kulungu, na ulimi wake aliye bubu utaimba; maana katika nyika maji yatabubujika; na vijito jangwani.
Yohana 5:8 - Swahili Revised Union Version Yesu akamwambia, Simama, jitwike godoro lako, uende. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako utembee.” Biblia Habari Njema - BHND Yesu akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako utembee.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako utembee.” Neno: Bibilia Takatifu Isa akamwambia, “Inuka! Chukua mkeka wako na uende.” Neno: Maandiko Matakatifu Isa akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako, uende.” BIBLIA KISWAHILI Yesu akamwambia, Simama, jitwike godoro lako, uende. |
Ndipo mtu aliye kilema atarukaruka kama kulungu, na ulimi wake aliye bubu utaimba; maana katika nyika maji yatabubujika; na vijito jangwani.
Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (amwambia yule mwenye kupooza) Inuka, ujitwike kitanda chako, uende nyumbani kwako.
Lakini, mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (alimwambia yule mwenye kupooza). Nakuambia, Ondoka, ujitwike kitanda chako, ukaende zako nyumbani kwako.