Yohana 5:8 - Swahili Revised Union Version8 Yesu akamwambia, Simama, jitwike godoro lako, uende. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Yesu akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako utembee.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Yesu akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako utembee.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Yesu akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako utembee.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Isa akamwambia, “Inuka! Chukua mkeka wako na uende.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Isa akamwambia, “Inuka, chukua mkeka wako, uende.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Yesu akamwambia, Simama, jitwike godoro lako, uende. Tazama sura |