Yohana 5:31 - Swahili Revised Union Version Mimi nikijishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nikijishuhudia mimi mwenyewe, ushahidi wangu hauwezi kukubaliwa kuwa wa kweli. Biblia Habari Njema - BHND Nikijishuhudia mimi mwenyewe, ushahidi wangu hauwezi kukubaliwa kuwa wa kweli. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nikijishuhudia mimi mwenyewe, ushahidi wangu hauwezi kukubaliwa kuwa wa kweli. Neno: Bibilia Takatifu “Kama ningejishuhudia mimi mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli. Neno: Maandiko Matakatifu “Kama ningejishuhudia mimi mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli. BIBLIA KISWAHILI Mimi nikijishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli. |
Yesu akajibu, Nikijitukuza mwenyewe, utukufu wangu si kitu; anitukuzaye ni Baba yangu, ambaye ninyi mwanena kuwa ni Mungu wenu.
Na kwa malaika wa kanisa lililoko Laodikia andika; Haya ndiyo anenayo yeye aliye Amina, Shahidi aliye mwaminifu na wa kweli, mwanzo wa kuumba kwa Mungu.