Yohana 5:31 - Swahili Revised Union Version31 Mimi nikijishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema31 Nikijishuhudia mimi mwenyewe, ushahidi wangu hauwezi kukubaliwa kuwa wa kweli. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND31 Nikijishuhudia mimi mwenyewe, ushahidi wangu hauwezi kukubaliwa kuwa wa kweli. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza31 Nikijishuhudia mimi mwenyewe, ushahidi wangu hauwezi kukubaliwa kuwa wa kweli. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu31 “Kama ningejishuhudia mimi mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu31 “Kama ningejishuhudia mimi mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI31 Mimi nikijishuhudia mwenyewe, ushuhuda wangu si kweli. Tazama sura |