Methali 27:2 - Swahili Revised Union Version2 Mwingine na akusifu wala si kinywa chako mwenyewe; Mtu mgeni wala si midomo yako wewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Acha watu wengine wakusifu, kuliko mdomo wako wewe mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Acha watu wengine wakusifu, kuliko mdomo wako wewe mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Acha watu wengine wakusifu, kuliko mdomo wako wewe mwenyewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Mwache mwingine akusifu, wala si kinywa chako mwenyewe; mtu mwingine afanye hivyo na si midomo yako mwenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Mwache mwingine akusifu, wala si kinywa chako mwenyewe; mtu mwingine afanye hivyo na si midomo yako mwenyewe. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI2 Mwingine na akusifu wala si kinywa chako mwenyewe; Mtu mgeni wala si midomo yako wewe. Tazama sura |