Ikawa walipokuwa njiani kwenda Yerusalemu, alikuwa akipita katikati ya Samaria na Galilaya.
Yohana 4:4 - Swahili Revised Union Version Naye alikuwa hana budi kupita katikati ya Samaria. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema na katika safari hiyo ilimbidi apitie Samaria. Biblia Habari Njema - BHND na katika safari hiyo ilimbidi apitie Samaria. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza na katika safari hiyo ilimbidi apitie Samaria. Neno: Bibilia Takatifu Wakati huo ilimlazimu apitie Samaria. Neno: Maandiko Matakatifu Wakati huo ilimlazimu apitie Samaria. BIBLIA KISWAHILI Naye alikuwa hana budi kupita katikati ya Samaria. |
Ikawa walipokuwa njiani kwenda Yerusalemu, alikuwa akipita katikati ya Samaria na Galilaya.
Akawaambia, Kwa nini mnitafute? Hamkujua ya kuwa imenipasa kuwamo katika nyumba ya Baba yangu?