Yohana 4:30 - Swahili Revised Union Version Basi wakatoka mjini, wakamwendea. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Watu wakatoka mjini, wakamwendea Yesu. Biblia Habari Njema - BHND Watu wakatoka mjini, wakamwendea Yesu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Watu wakatoka mjini, wakamwendea Yesu. Neno: Bibilia Takatifu Basi wakamiminika watu kutoka mjini, wakamwendea Isa. Neno: Maandiko Matakatifu Basi wakamiminika watu kutoka mjini wakamwendea Isa. BIBLIA KISWAHILI Basi wakatoka mjini, wakamwendea. |
Njoni, mtazame mtu aliyeniambia mambo yote niliyoyatenda. Je! Inawezekana kuwa huyu ndiye Kristo?
Na katika mji ule Wasamaria wengi walimwamini kwa sababu ya neno la yule mwanamke, aliyeshuhudia kwamba, Aliniambia mambo yote niliyoyatenda.
Mara nikatuma watu kwako, nawe umefanya vyema kuja. Basi sasa sisi sote tupo hapa mbele za Mungu, tupate kuyasikiliza maneno yote uliyoamriwa na Bwana.
Basi ijulikane kwenu ya kwamba wokovu huu wa Mungu umepelekwa kwa Mataifa, nao watasikia! [
Lakini sheria iliingia ili kosa lile liwe kubwa sana; na dhambi ilipozidi, neema ilikuwa nyingi zaidi;