Yohana 3:9 - Swahili Revised Union Version Nikodemo akajibu, akamwambia, Mambo haya yawezaje kuwa? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Nikodemo akamwuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?” Biblia Habari Njema - BHND Nikodemo akamwuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Nikodemo akamwuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?” Neno: Bibilia Takatifu Nikodemo akamuuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?” Neno: Maandiko Matakatifu Nikodemo akamuuliza, “Mambo haya yanawezekanaje?” BIBLIA KISWAHILI Nikodemo akajibu, akamwambia, Mambo haya yawezaje kuwa? |
Nitawaleta vipofu kwa njia wasiyoijua; katika mapito wasiyoyajua nitawaongoza; nitafanya giza kuwa nuru mbele yao; na mahali palipopotoka kuwa pamenyoka. Haya nitayatenda, wala sitawaacha.
Nikodemo akamwambia, Awezaje mtu kuzaliwa, akiwa mzee? Aweza kuingia tumboni mwa mamaye mara ya pili akazaliwa?
Upepo huvuma upendako, na sauti yake waisikia, lakini hujui unakotoka wala unakokwenda; kadhalika na hali yake kila mtu aliyezaliwa kwa Roho.
Basi Wayahudi walishindana wao kwa wao wakisema, Awezaje mtu huyu kutupa sisi mwili wake ili tuule?
Basi watu wengi miongoni mwa wanafunzi wake waliposikia, walisema, Neno hili ni gumu, ni nani awezaye kulisikia?