Yohana 3:10 - Swahili Revised Union Version10 Yesu akajibu, akamwambia, Je! Wewe u mwalimu wa Israeli, na mambo haya huyafahamu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema10 Yesu akamjibu, “Je, wewe ni mwalimu katika Israeli na huyajui mambo haya? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND10 Yesu akamjibu, “Je, wewe ni mwalimu katika Israeli na huyajui mambo haya? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza10 Yesu akamjibu, “Je, wewe ni mwalimu katika Israeli na huyajui mambo haya? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu10 Isa akamwambia, “Wewe ni mwalimu wa Waisraeli, nawe huelewi mambo haya? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu10 Isa akamwambia, “Wewe ni mwalimu mashuhuri wa Waisraeli, nawe huelewi mambo haya? Tazama suraBIBLIA KISWAHILI10 Yesu akajibu, akamwambia, Je! Wewe u mwalimu wa Israeli, na mambo haya huyafahamu? Tazama sura |