Maana Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga, akamtia gerezani, kwa ajili ya Herodia, mke wa Filipo nduguye.
Yohana 3:24 - Swahili Revised Union Version Maana Yohana alikuwa hajatiwa gerezani. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema (Wakati huo Yohane alikuwa bado hajafungwa gerezani.) Biblia Habari Njema - BHND (Wakati huo Yohane alikuwa bado hajafungwa gerezani.) Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza (Wakati huo Yohane alikuwa bado hajafungwa gerezani.) Neno: Bibilia Takatifu (Hii ilikuwa kabla Yahya hajafungwa gerezani.) Neno: Maandiko Matakatifu (Hii ilikuwa kabla Yahya hajatiwa gerezani). BIBLIA KISWAHILI Maana Yohana alikuwa hajatiwa gerezani. |
Maana Herode alikuwa amemkamata Yohana, akamfunga, akamtia gerezani, kwa ajili ya Herodia, mke wa Filipo nduguye.
Kwa maana Herode mwenyewe alikuwa ametuma watu, akamkamata Yohana, akamfunga gerezani, kwa ajili ya Herodia, mkewe Filipo, ndugu yake, kwa kuwa amemwoa;
Yohana naye alikuwa akibatiza huko Ainoni, karibu na Salimu, kwa sababu huko kulikuwa na maji tele; na watu wakamwendea, wakabatizwa.