Biblia ya mtandaoni

Matangazo


Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya




Yohana 21:13 - Swahili Revised Union Version

Yesu akaenda akautwaa mkate, akawapa, na samaki vivyo hivyo.

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Yesu akaja, akatwaa mkate, akawapa; akafanya vivyo hivyo na wale samaki.

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Yesu akaja, akatwaa mkate, akawapa; akafanya vivyo hivyo na wale samaki.

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Yesu akaja, akatwaa mkate, akawapa; akafanya vivyo hivyo na wale samaki.

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Isa akaja, akachukua ule mkate, akawapa, na vivyo hivyo akawagawia wale samaki.

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

Basi Isa akaja, akachukua ule mkate, akawapa na vivyo hivyo akawagawia pia wale samaki.

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Yesu akaenda akautwaa mkate, akawapa, na samaki vivyo hivyo.

Tazama sura
Tafsiri zingine



Yohana 21:13
6 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawaambia, Leteni hapa baadhi ya samaki mliowavua sasa hivi.


Basi waliposhuka pwani, wakaona huko moto wa makaa, na juu yake pametiwa samaki, na mkate.


Basi Yesu akaitwaa ile mikate, akashukuru, akawagawia walioketi; na kadhalika katika wale samaki kwa kadiri walivyotaka.


Yupo hapa mtoto, ana mikate mitano ya shayiri na samaki wawili, lakini hivi ni nini kwa watu wengi kama hawa?


si kwa watu wote, bali kwa mashahidi waliokuwa wamekwisha kuchaguliwa na Mungu, ndio sisi, tuliokula na kunywa pamoja naye baada ya kufufuka kwake kutoka kwa wafu.