Nao waliomkamata Yesu wakampeleka kwa Kayafa, Kuhani Mkuu, walikokuwa wamekutanika waandishi na wazee.
Yohana 18:19 - Swahili Revised Union Version Basi Kuhani Mkuu akamwuliza Yesu kuhusu wanafunzi wake, na kuhusu mafundisho yake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Basi, kuhani mkuu akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake. Biblia Habari Njema - BHND Basi, kuhani mkuu akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Basi, kuhani mkuu akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake. Neno: Bibilia Takatifu Wakati huo kuhani mkuu akawa anamuuliza Isa kuhusu wanafunzi wake na mafundisho yake. Neno: Maandiko Matakatifu Wakati huo kuhani mkuu akawa anamuuliza Isa kuhusu wanafunzi wake na mafundisho yake. BIBLIA KISWAHILI Basi Kuhani Mkuu akamwuliza Yesu kuhusu wanafunzi wake, na kuhusu mafundisho yake. |
Nao waliomkamata Yesu wakampeleka kwa Kayafa, Kuhani Mkuu, walikokuwa wamekutanika waandishi na wazee.
Nao wakamchukua Yesu kwa Kuhani Mkuu; wakamkusanyikia wote, wakuu wa makuhani na wazee na waandishi.
Wakamviziavizia, wakatuma wapelelezi waliojifanya kuwa watu wa haki, ili wamnase katika maneno yake, wapate kumtia katika enzi na mamlaka ya mtawala.