Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni
- Matangazo -

Marko 14:53 - Swahili Revised Union Version

53 Nao wakamchukua Yesu kwa Kuhani Mkuu; wakamkusanyikia wote, wakuu wa makuhani na wazee na waandishi.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

53 Basi, wakampeleka Yesu kwa kuhani mkuu ambapo makuhani wakuu wote, wazee na waalimu wa sheria walikuwa wamekutanika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

53 Basi, wakampeleka Yesu kwa kuhani mkuu ambapo makuhani wakuu wote, wazee na waalimu wa sheria walikuwa wamekutanika.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

53 Basi, wakampeleka Yesu kwa kuhani mkuu ambapo makuhani wakuu wote, wazee na waalimu wa sheria walikuwa wamekutanika.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

53 Wakampeleka Isa kwa kuhani mkuu, nao viongozi wa makuhani wote, na wazee na walimu wa Torati wote wakakusanyika pamoja.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

53 Wakampeleka Isa kwa kuhani mkuu, nao viongozi wa makuhani wote, na wazee na walimu wa Torati wote wakakusanyika pamoja.

Tazama sura Nakili

BIBLIA KISWAHILI

53 Nao wakamchukua Yesu kwa Kuhani Mkuu; wakamkusanyikia wote, wakuu wa makuhani na wazee na waandishi.

Tazama sura Nakili

Marko 14:53
9 Marejeleo ya Msalaba  

Alionewa, lakini alinyenyekea, Wala hakufunua kinywa chake; Kama mwana-kondoo apelekwaye machinjoni, Na kama vile kondoo anyamazavyo Mbele yao wakatao manyoya yake; Naam, hakufunua kinywa chake.

Wakati ule wakuu wa makuhani, na wazee wa watu, wakakusanyika katika behewa ya Kuhani Mkuu, jina lake Kayafa;

naye akaiacha ile nguo ya kitani, akakimbia akiwa uchi.

Mara kulipokuwa asubuhi wakuu wa makuhani walifanya shauri pamoja na wazee na waandishi na baraza nzima, wakamfunga Yesu, wakamchukua, wakamleta mbele ya Pilato.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo