Yohana 18:19 - Swahili Revised Union Version19 Basi Kuhani Mkuu akamwuliza Yesu kuhusu wanafunzi wake, na kuhusu mafundisho yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Basi, kuhani mkuu akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Basi, kuhani mkuu akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Basi, kuhani mkuu akamwuliza Yesu juu ya wanafunzi wake na mafundisho yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Wakati huo kuhani mkuu akawa anamuuliza Isa kuhusu wanafunzi wake na mafundisho yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Wakati huo kuhani mkuu akawa anamuuliza Isa kuhusu wanafunzi wake na mafundisho yake. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI19 Basi Kuhani Mkuu akamwuliza Yesu kuhusu wanafunzi wake, na kuhusu mafundisho yake. Tazama sura |