Yohana 16:9 - Swahili Revised Union Version Kwa habari ya dhambi, kwa sababu hawaniamini mimi; Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Wamekosea kuhusu dhambi kwa sababu hawaniamini; Biblia Habari Njema - BHND Wamekosea kuhusu dhambi kwa sababu hawaniamini; Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Wamekosea kuhusu dhambi kwa sababu hawaniamini; Neno: Bibilia Takatifu Kwa habari ya dhambi, kwa sababu hawaniamini mimi; Neno: Maandiko Matakatifu Kwa habari ya dhambi, kwa sababu hawaniamini mimi, BIBLIA KISWAHILI Kwa habari ya dhambi, kwa sababu hawaniamini mimi; |
Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu.
Nami nilikuwa hai hapo kwanza bila sheria; ila ilipokuja ile amri, dhambi ilihuika, nami nikafa.
ingawa hapo awali nilikuwa mtukanaji, mwenye kuudhi watu, mwenye ujeuri, lakini nilipata rehema kwa kuwa nilifanya hivyo kwa ujinga, na kwa kutokuwa na imani.
Hadharini, ndugu zangu, usiwepo katika mmoja wenu moyo mbovu wa kutoamini, ujitengao na Mungu aliye hai.