Yohana 16:8 - Swahili Revised Union Version8 Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Naye atakapokuja atawathibitishia walimwengu kwamba wamekosea kuhusu dhambi, uadilifu na hukumu ya Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Naye atakapokuja atawathibitishia walimwengu kwamba wamekosea kuhusu dhambi, uadilifu na hukumu ya Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Naye atakapokuja atawathibitishia walimwengu kwamba wamekosea kuhusu dhambi, uadilifu na hukumu ya Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Naye atakapokuja, atauthibitishia ulimwengu kuhusu dhambi, haki na hukumu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Naye atakapokuja, atauthibitishia ulimwengu kuhusu dhambi, haki na hukumu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI8 Naye akiisha kuja, huyo atauhakikisha ulimwengu kwa habari ya dhambi, na haki, na hukumu. Tazama sura |
Nami nitawamwagia watu wa nyumba ya Daudi, na wenyeji wa Yerusalemu, roho ya neema na kuomba; nao watamtazama yeye ambaye walimdunga; nao watamwombolezea, kama vile mtu amwombolezeavyo mwanawe wa pekee; nao wataona uchungu kwa ajili yake, kama vile mtu aonavyo uchungu kwa ajili ya mzaliwa wake wa kwanza.