Alipoondoka katika kuomba kwake, akawajia wanafunzi wake, akawakuta wamelala usingizi kwa huzuni.
Yohana 16:6 - Swahili Revised Union Version Ila kwa sababu nimewaambia hayo huzuni imejaa mioyoni mwenu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kwa kuwa nimewaambieni mambo hayo mmejaa huzuni mioyoni mwenu. Biblia Habari Njema - BHND Kwa kuwa nimewaambieni mambo hayo mmejaa huzuni mioyoni mwenu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kwa kuwa nimewaambieni mambo hayo mmejaa huzuni mioyoni mwenu. Neno: Bibilia Takatifu Kwa sababu nimewaambia mambo haya, mioyo yenu imejawa na huzuni. Neno: Maandiko Matakatifu Kwa sababu nimewaambia mambo haya, mioyo yenu imejawa na huzuni. BIBLIA KISWAHILI Ila kwa sababu nimewaambia hayo huzuni imejaa mioyoni mwenu. |
Alipoondoka katika kuomba kwake, akawajia wanafunzi wake, akawakuta wamelala usingizi kwa huzuni.
Akawaambia, Ni maneno gani haya mnayosemezana hivi mnapotembea? Wakasimama wamekunja nyuso zao.