Yohana 16:5 - Swahili Revised Union Version5 Lakini sasa mimi naenda zangu kwake yeye aliyenituma, wala hakuna mmoja wenu aniulizaye, Unakwenda wapi? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Lakini sasa namwendea yule aliyenituma; na hakuna hata mmoja wenu anayeniuliza: ‘Unakwenda wapi?’ Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Lakini sasa namwendea yule aliyenituma; na hakuna hata mmoja wenu anayeniuliza: ‘Unakwenda wapi?’ Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Lakini sasa namwendea yule aliyenituma; na hakuna hata mmoja wenu anayeniuliza: ‘Unakwenda wapi?’ Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 “Sasa mimi ninaenda kwake yeye aliyenituma, lakini hakuna hata aniulizaye, ‘Unaenda wapi?’ Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 “Sasa mimi ninakwenda kwake yeye aliyenituma, lakini hakuna hata aniulizaye, ‘Unakwenda wapi?’ Tazama suraBIBLIA KISWAHILI5 Lakini sasa mimi naenda zangu kwake yeye aliyenituma, wala hakuna mmoja wenu aniulizaye, Unakwenda wapi? Tazama sura |