Yeye humwomba Mungu, naye akamtakabalia; Hata auone uso wake kwa furaha; Naye humrejeshea mtu haki yake.
Yohana 14:8 - Swahili Revised Union Version Filipo akamwambia, Bwana, utuoneshe Baba, yatutosha. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Filipo akamwambia, “Bwana, tuoneshe Baba, nasi tutatosheka.” Biblia Habari Njema - BHND Filipo akamwambia, “Bwana, tuoneshe Baba, nasi tutatosheka.” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Filipo akamwambia, “Bwana, tuoneshe Baba, nasi tutatosheka.” Neno: Bibilia Takatifu Filipo akamwambia, “Bwana, tuoneshe Baba, na hiyo itatutosha.” Neno: Maandiko Matakatifu Filipo akamwambia, “Bwana, tuonyeshe Baba yako yatosha.” BIBLIA KISWAHILI Filipo akamwambia, Bwana, utuoneshe Baba, yatutosha. |
Yeye humwomba Mungu, naye akamtakabalia; Hata auone uso wake kwa furaha; Naye humrejeshea mtu haki yake.
Nathanaeli akamwambia, Umepataje kunitambua? Yesu akajibu, akamwambia, Kabla Filipo hajakuita, ulipokuwapo chini ya mtini nilikuona.
Hayo nimesema nanyi kwa mithali; saa inakuja ambapo sitasema nanyi tena kwa mithali, lakini nitawapa waziwazi habari ya Baba.