Yohana 14:5 - Swahili Revised Union Version Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako; nasi tunaijuaje njia? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Thoma akamwuliza, “Bwana, hatujui unakokwenda, tutawezaje basi, kuijua hiyo njia?” Biblia Habari Njema - BHND Thoma akamwuliza, “Bwana, hatujui unakokwenda, tutawezaje basi, kuijua hiyo njia?” Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Thoma akamwuliza, “Bwana, hatujui unakokwenda, tutawezaje basi, kuijua hiyo njia?” Neno: Bibilia Takatifu Tomaso akamwambia, “Bwana, sisi hatujui unakoenda, tutaijuaje njia?” Neno: Maandiko Matakatifu Tomaso akamwambia, “Bwana, sisi hatujui unakokwenda, tutaijuaje njia?” BIBLIA KISWAHILI Tomaso akamwambia, Bwana, sisi hatujui uendako; nasi tunaijuaje njia? |
Akawajibu, akasema, Enyi kizazi kisichoamini, nikae nanyi hadi lini? Nichukuliane nanyi hadi lini? Mleteni kwangu.
Basi Tomaso, aitwaye Pacha, akawaambia wanafunzi wenziwe, Twendeni na sisi, ili tufe pamoja naye.
Lakini sasa mimi naenda zangu kwake yeye aliyenituma, wala hakuna mmoja wenu aniulizaye, Unakwenda wapi?