Tangu sasa nawaambia kabla hayajatukia, ili yatakapotukia mpate kuamini ya kuwa mimi ndiye.
Yohana 14:25 - Swahili Revised Union Version Hayo ndiyo niliyowaambia wakati nilipokuwa nikikaa kwenu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Nimewaambieni mambo haya nikiwa bado pamoja nanyi, Biblia Habari Njema - BHND “Nimewaambieni mambo haya nikiwa bado pamoja nanyi, Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Nimewaambieni mambo haya nikiwa bado pamoja nanyi, Neno: Bibilia Takatifu “Nimewaambia mambo haya yote wakati bado niko pamoja nanyi. Neno: Maandiko Matakatifu “Nimewaambia mambo haya yote wakati bado niko pamoja nanyi. BIBLIA KISWAHILI Hayo ndiyo niliyowaambia wakati nilipokuwa nikikaa kwenu. |
Tangu sasa nawaambia kabla hayajatukia, ili yatakapotukia mpate kuamini ya kuwa mimi ndiye.
Mtu asiyenipenda, yeye hayashiki maneno yangu; nalo neno mnalolisikia silo langu, ila ni lake Baba aliyenituma.
Lakini huyo Msaidizi, huyo Roho Mtakatifu, ambaye Baba atamtuma kwa jina langu, atawafundisha yote, na kuwakumbusha yote niliyowaambia.