Yohana 14:29 - Swahili Revised Union Version29 Na sasa nimewaambia kabla halijatokea, ili litakapotokea mpate kuamini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Nimewaambieni haya sasa kabla hayajatokea, ili yatakapotokea mpate kuamini. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Nimewaambieni haya sasa kabla hayajatokea, ili yatakapotokea mpate kuamini. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Nimewaambieni haya sasa kabla hayajatokea, ili yatakapotokea mpate kuamini. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Nimewaambia mambo haya kabla hayajatukia, ili yatakapotukia mpate kuamini. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Nimewaambia mambo haya kabla hayajatukia, ili yatakapotukia mpate kuamini. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI29 Na sasa nimewaambia kabla halijatokea, ili litakapotokea mpate kuamini. Tazama sura |