Biblia ya mtandaoni

Matangazo

Biblia nzima Agano la Kale Agano Jipya

Yohana 11:6 - Swahili Revised Union Version

Basi aliposikia ya kwamba ni mgonjwa, bado alikaa siku mbili pale pale alipokuwapo.

Tazama sura

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

Alipopata habari kwamba Lazaro ni mgonjwa, Yesu aliendelea kukaa mahali hapo alipokuwa kwa siku mbili zaidi.

Tazama sura

Biblia Habari Njema - BHND

Alipopata habari kwamba Lazaro ni mgonjwa, Yesu aliendelea kukaa mahali hapo alipokuwa kwa siku mbili zaidi.

Tazama sura

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

Alipopata habari kwamba Lazaro ni mgonjwa, Yesu aliendelea kukaa mahali hapo alipokuwa kwa siku mbili zaidi.

Tazama sura

Neno: Bibilia Takatifu

Hata hivyo, baada ya kusikia kwamba Lazaro ni mgonjwa, alikawia huko alikokuwa kwa siku mbili zaidi.

Tazama sura

Neno: Maandiko Matakatifu

baada ya kusikia kwamba Lazaro ni mgonjwa, aliendelea kukawia huko alikokuwa kwa siku mbili zaidi.

Tazama sura

BIBLIA KISWAHILI

Basi aliposikia ya kwamba ni mgonjwa, bado alikaa siku mbili pale pale alipokuwapo.

Tazama sura
Tafsiri zingine

Yohana 11:6
10 Marejeleo ya Msalaba  

Abrahamu akapaita mahali hapo Yehova-yire, kama watu wasemavyo hata leo, Katika mlima wa BWANA itapatikana.

Akaenda kando, akalia. Kisha akawarudia, na kusema nao, akamtwaa Simeoni miongoni mwao, akamfunga mbele ya macho yao.

Kwa ajili ya hayo BWANA atangoja, ili awaonee huruma, na kwa ajili ya hayo atatukuzwa, ili awarehemu; kwa maana BWANA ni Mungu wa hukumu; heri wote wamngojao.

Naye Yesu alimpenda Martha na dada yake na Lazaro.

Kisha, baada ya hayo, akawaambia wanafunzi wake, Twendeni Yudea tena.