Yohana 11:7 - Swahili Revised Union Version7 Kisha, baada ya hayo, akawaambia wanafunzi wake, Twendeni Yudea tena. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 Kisha akawaambia wanafunzi wake, “Twendeni tena Yudea!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 Kisha akawaambia wanafunzi wake, “Twendeni tena Yudea!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 Kisha akawaambia wanafunzi wake, “Twendeni tena Yudea!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 Ndipo akawaambia wanafunzi wake, “Haya, turudi Yudea.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 Ndipo akawaambia wanafunzi wake, “Haya, turudi Uyahudi.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI7 Kisha, baada ya hayo, akawaambia wanafunzi wake, Twendeni Yudea tena. Tazama sura |