Ikawa katika kuenda kwao aliingia katika kijiji kimoja; mwanamke mmoja jina lake Martha akamkaribisha nyumbani kwake.
Yohana 11:5 - Swahili Revised Union Version Naye Yesu alimpenda Martha na dada yake na Lazaro. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Yesu aliwapenda Martha, dada yake na Lazaro. Biblia Habari Njema - BHND Yesu aliwapenda Martha, dada yake na Lazaro. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Yesu aliwapenda Martha, dada yake na Lazaro. Neno: Bibilia Takatifu Isa aliwapenda Martha, Mariamu na Lazaro ndugu yao. Neno: Maandiko Matakatifu Pamoja na hivyo, ingawa Isa aliwapenda Martha, Maria na Lazaro ndugu yao, BIBLIA KISWAHILI Naye Yesu alimpenda Martha na dada yake na Lazaro. |
Ikawa katika kuenda kwao aliingia katika kijiji kimoja; mwanamke mmoja jina lake Martha akamkaribisha nyumbani kwake.
Lakini Martha alikuwa akihangaika kwa utumishi mwingi; akamwendea, akasema, Bwana, huoni vibaya hivyo dada yangu alivyoniacha nifanye kazi peke yangu? Basi mwambie anisaidie.
Bwana akajibu akamwambia, Martha, Martha, unasumbuka na kufadhaika kwa ajili ya vitu vingi;
Basi mtu mmoja alikuwa mgonjwa, Lazaro wa Bethania, mwenyeji wa mji wa Mariamu na Martha, dada yake.
Wale wanafunzi wakamwambia, Rabi, juzi juzi tu Wayahudi walikuwa wakitafuta kukupiga kwa mawe, nawe unakwenda huko tena?
kwa maana Baba mwenyewe awapenda kwa kuwa ninyi mmenipenda mimi, na kusadiki ya kwamba mimi nilitoka kwa Baba.
Nami niliwajulisha jina lako, tena nitawajulisha hilo; ili pendo lile ulilonipenda mimi liwe ndani yao, nami niwe ndani yao.