Yohana 10:26 - Swahili Revised Union Version Lakini ninyi hamsadiki, kwa sababu hammo miongoni mwa kondoo wangu. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini nyinyi hamsadiki kwa sababu nyinyi si kondoo wangu. Biblia Habari Njema - BHND Lakini nyinyi hamsadiki kwa sababu nyinyi si kondoo wangu. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini nyinyi hamsadiki kwa sababu nyinyi si kondoo wangu. Neno: Bibilia Takatifu Lakini hamwamini, kwa sababu ninyi si wa kundi la kondoo wangu. Neno: Maandiko Matakatifu Lakini hamwamini, kwa sababu ninyi si wa kundi la kondoo wangu. BIBLIA KISWAHILI Lakini ninyi hamsadiki, kwa sababu hammo miongoni mwa kondoo wangu. |
Naye awatoapo nje kondoo wake wote, huwatangulia; na wale kondoo humfuata, kwa maana waijua sauti yake.
Akasema, Kwa sababu hiyo nimewaambia ya kwamba hakuna mtu awezaye kuja kwangu isipokuwa amejaliwa na Baba yangu.
Yeye aliye wa Mungu huyasikia maneno ya Mungu; hivyo ninyi hamsikii kwa sababu ninyi si wa Mungu.
Sisi tunatokana na Mungu. Yeye amjuaye Mungu atusikia; yeye asiyetokana na Mungu hatusikii. Katika hili tunamjua Roho wa kweli, na roho ya upotevu.