Yohana 10:26 - Swahili Revised Union Version26 Lakini ninyi hamsadiki, kwa sababu hammo miongoni mwa kondoo wangu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Lakini nyinyi hamsadiki kwa sababu nyinyi si kondoo wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Lakini nyinyi hamsadiki kwa sababu nyinyi si kondoo wangu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Lakini nyinyi hamsadiki kwa sababu nyinyi si kondoo wangu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Lakini hamwamini, kwa sababu ninyi si wa kundi la kondoo wangu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Lakini hamwamini, kwa sababu ninyi si wa kundi la kondoo wangu. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI26 Lakini ninyi hamsadiki, kwa sababu hammo miongoni mwa kondoo wangu. Tazama sura |