Ndipo wale waliomcha BWANA waliposemezana wao kwa wao. Naye BWANA akasikiliza, akasikia; na kitabu cha ukumbusho kikaandikwa mbele zake, kwa ajili ya hao waliomcha BWANA, na kulitafakari jina lake.
Yohana 1:35 - Swahili Revised Union Version Tena kesho yake Yohana alikuwa amesimama pamoja na wawili katika wanafunzi wake. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Kesho yake, Yohane alikuwa tena mahali hapo pamoja na wanafunzi wake wawili. Biblia Habari Njema - BHND Kesho yake, Yohane alikuwa tena mahali hapo pamoja na wanafunzi wake wawili. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Kesho yake, Yohane alikuwa tena mahali hapo pamoja na wanafunzi wake wawili. Neno: Bibilia Takatifu Siku iliyofuata, Yahya alikuwa huko tena pamoja na wanafunzi wake wawili. Neno: Maandiko Matakatifu Siku iliyofuata, Yahya alikuwa huko tena pamoja na wanafunzi wake wawili. BIBLIA KISWAHILI Tena kesho yake Yohana alikuwa amesimama pamoja na wawili katika wanafunzi wake. |
Ndipo wale waliomcha BWANA waliposemezana wao kwa wao. Naye BWANA akasikiliza, akasikia; na kitabu cha ukumbusho kikaandikwa mbele zake, kwa ajili ya hao waliomcha BWANA, na kulitafakari jina lake.
Kesho yake alimwona Yesu akija kwake, akasema, Tazama, Mwana-kondoo wa Mungu, aichukuaye dhambi ya ulimwengu!
Kesho yake alitaka kuondoka kwenda Galilaya, naye akamwona Filipo. Yesu akamwambia, Nifuate.
Na siku ya tatu palikuwa na arusi huko Kana, mji wa Galilaya; naye mama yake Yesu alikuwapo.