Yohana 1:43 - Swahili Revised Union Version43 Kesho yake alitaka kuondoka kwenda Galilaya, naye akamwona Filipo. Yesu akamwambia, Nifuate. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema43 Kesho yake Yesu aliamua kwenda Galilaya. Basi, akamkuta Filipo, akamwambia, “Nifuate.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND43 Kesho yake Yesu aliamua kwenda Galilaya. Basi, akamkuta Filipo, akamwambia, “Nifuate.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza43 Kesho yake Yesu aliamua kwenda Galilaya. Basi, akamkuta Filipo, akamwambia, “Nifuate.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu43 Siku iliyofuata Isa aliamua kwenda Galilaya. Akamkuta Filipo, akamwambia, “Nifuate.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu43 Siku iliyofuata Isa aliamua kwenda Galilaya. Akamkuta Filipo, akamwambia, “Nifuate.” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI43 Kesho yake alitaka kuondoka kwenda Galilaya, naye akamwona Filipo. Yesu akamwambia, Nifuate. Tazama sura |