Yohana 1:36 - Swahili Revised Union Version36 Akamtazama Yesu akitembea, akasema, Tazama, Mwana-kondoo wa Mungu! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema36 Alipomwona Yesu akipita, akasema, “Tazameni! Huyu ndiye Mwanakondoo wa Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND36 Alipomwona Yesu akipita, akasema, “Tazameni! Huyu ndiye Mwanakondoo wa Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza36 Alipomwona Yesu akipita, akasema, “Tazameni! Huyu ndiye Mwanakondoo wa Mungu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu36 Alipomwona Isa akipita, akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu36 Alipomwona Isa akipita, akasema, “Tazama, Mwana-Kondoo wa Mungu!” Tazama suraBIBLIA KISWAHILI36 Akamtazama Yesu akitembea, akasema, Tazama, Mwana-kondoo wa Mungu! Tazama sura |