Yohana 2:1 - Swahili Revised Union Version1 Na siku ya tatu palikuwa na arusi huko Kana, mji wa Galilaya; naye mama yake Yesu alikuwapo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Siku ya tatu kulikuwa na harusi mjini Kana, mkoani Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Siku ya tatu kulikuwa na harusi mjini Kana, mkoani Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Siku ya tatu kulikuwa na harusi mjini Kana, mkoani Galilaya. Mama yake Yesu alikuwapo, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Siku ya tatu kulikuwa na arusi katika mji wa Kana ya Galilaya, naye mama yake Isa alikuwepo. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Siku ya tatu kulikuwa na arusi katika mji wa Kana ya Galilaya, naye mama yake Isa alikuwepo pale. Tazama suraBIBLIA KISWAHILI1 Na siku ya tatu palikuwa na harusi huko Kana, mji wa Galilaya; naye mama yake Yesu alikuwapo. Tazama sura |