Ewe Farisayo kipofu, safisha kwanza ndani ya kikombe, ili nje yake nako kupate kuwa safi.
Yohana 1:24 - Swahili Revised Union Version Nao wale waliotumwa walikuwa wametoka kwa Mafarisayo. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Hao watu walikuwa wametumwa na Mafarisayo. Biblia Habari Njema - BHND Hao watu walikuwa wametumwa na Mafarisayo. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Hao watu walikuwa wametumwa na Mafarisayo. Neno: Bibilia Takatifu Basi walikuwa wametumwa watu kutoka kwa Mafarisayo, Neno: Maandiko Matakatifu Basi walikuwa wametumwa watu kutoka kwa Mafarisayo, BIBLIA KISWAHILI Nao wale waliotumwa walikuwa wametoka kwa Mafarisayo. |
Ewe Farisayo kipofu, safisha kwanza ndani ya kikombe, ili nje yake nako kupate kuwa safi.
Alipotoka humo, Waandishi na Mafarisayo walianza kumsonga vibaya, na kumchokoza kwa maswali mengi,
Lakini, Mafarisayo na wanasheria walilipinga shauri la Mungu juu yao, kwa kuwa hawakubatizwa naye.
Akasema, Mimi ni sauti ya mtu aliaye nyikani, Inyosheni njia ya Bwana! Kama vile alivyonena nabii Isaya.
Wakamwuliza, wakamwambia, Mbona basi wabatiza, ikiwa wewe si Kristo, wala Eliya, wala nabii yule?
Kwa maana Masadukayo husema ya kwamba hakuna kiyama wala malaika wala roho; bali Mafarisayo hukiri yote.
wakinijua sana tangu mwanzo, kama wakipenda kushuhudia, ya kwamba nilikuwa Farisayo kwa kuifuata madhehebu ya dini yetu iliyo sahihi kabisa.