Yobu 4:2 - Swahili Revised Union Version Mtu akijaribu kuzungumza nawe, je! Utaona ni vibaya? Lakini ni nani awezaye kujizuia asinene? Matoleo zaidiBiblia Habari Njema “Je, mtu akijaribu kukuambia neno utakasirika? Lakini nani awezaye kujizuia kusema? Biblia Habari Njema - BHND “Je, mtu akijaribu kukuambia neno utakasirika? Lakini nani awezaye kujizuia kusema? Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza “Je, mtu akijaribu kukuambia neno utakasirika? Lakini nani awezaye kujizuia kusema? Neno: Bibilia Takatifu “Kama mtu akithubutu kuzungumza nawe, kutakukasirisha? Lakini ni nani awezaye kujizuia asiseme? Neno: Maandiko Matakatifu “Kama mtu akithubutu kuzungumza nawe, kutakukasirisha? Lakini ni nani awezaye kujizuia asiseme? BIBLIA KISWAHILI Mtu akijaribu kuzungumza nawe, je! Utaona ni vibaya? Lakini ni nani awezaye kujizuia asinene? |
Nami nikisema, Sitamtaja, wala sitasema tena kwa jina lake; basi, ndipo moyoni mwangu kumekuwamo kama moto uwakao, uliofungwa ndani ya mifupa yangu, nami nimechoka kwa kustahimili, wala siwezi kujizuia.
Lakini nimejaa ghadhabu ya BWANA; nimechoka kwa kujizuia; imwageni juu ya watoto walio njiani, na juu ya kusanyiko la vijana pia; maana hata mume atatwaliwa pamoja na mkewe, mzee pamoja na yeye aliyetimiza siku zake.