Kisha atamchukua huyo ng'ombe nje ya kambi, na kumteketeza vile vile kama alivyomteketeza ng'ombe wa kwanza; ni sadaka ya dhambi kwa ajili ya mkutano.
Walawi 9:11 - Swahili Revised Union Version Na nyama, na ngozi akaziteketeza nje ya kambi. Matoleo zaidiBiblia Habari Njema Lakini ile ngozi akaiteketeza kwa moto nje ya kambi. Biblia Habari Njema - BHND Lakini ile ngozi akaiteketeza kwa moto nje ya kambi. Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza Lakini ile ngozi akaiteketeza kwa moto nje ya kambi. Neno: Bibilia Takatifu Akateketeza nyama na ngozi nje ya kambi. Neno: Maandiko Matakatifu Akateketeza nyama na ngozi nje ya kambi. BIBLIA KISWAHILI Na nyama, na ngozi akaziteketeza nje ya kambi. |
Kisha atamchukua huyo ng'ombe nje ya kambi, na kumteketeza vile vile kama alivyomteketeza ng'ombe wa kwanza; ni sadaka ya dhambi kwa ajili ya mkutano.
Lakini huyo ng'ombe mwenyewe, na ngozi yake, na nyama yake, na mavi yake, akaviteketeza nje ya kambi; vile vile kama BWANA alivyomwagiza Musa.
lakini mafuta, na figo, na kitambi kilichotoka katika ini ya hiyo sadaka ya dhambi, akaviteketeza juu ya madhabahu, kama BWANA alivyomwagiza Musa.
Naye akaichinja sadaka ya kuteketezwa; na wanawe Haruni wakamsogezea ile damu, naye akainyunyiza katika madhabahu pande zote.